HOJA MEZANI | Matangazo ya viwanja kwenye mabango" vispika" kusababisha migogoro
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 93
Katika harakati za kununua ardhi, umewahi kukutana na mabango kwenye nguzo za umeme au vispika barabarani yakinadi viwanja kwa bei nafuu? Msikilize Mwanasheria Emmanuel Ukashu akielezea namna uuzaji wa viwanja kiholela kupitia mabango na vispika unavyosababisha migogoro ya ardhi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: