AFCON 2025: Morocco waipiga Comoros 2-0 | DW Kiswahili Mjadala
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 555
Michuano ya mara ya 35 kombe la mataifa ya bara la Afrika AFCON imeanza kutimua vumbi mjini Rabat huku wenyeji Morocco wakiilaza Comoro 2 — 0. Mjadala wetu leo unaangazia michuano hiyo ikiwemo nafasi za timu za Afrika Mashariki kutwaa ubingwa. Lakini pia tunatupia macho vurugu zilizotokea Nairobi wakati wa mchezo wa kandanda katika uwanja wa Dandora ambaposhabiki mmoja aliuawa. #dwkiswahili #dwmichezo #dwmjadala #dwhabarimotomoto #afcon2025 #morocco
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: