MTU MMOJA ACHINJWA NA WASIOJULIKANA AKIWA NYUMBANI KWAKE HUKO MANYARA
Автор: Manara TV
Загружено: 2025-04-11
Просмотров: 1581
Familia ya michezo mkoani Manyara imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha mfanyabiashara na shabiki maarufu wa soka, Thomas Karatu (48), aliyekutwa ameuawa kikatili kwa kuchinjwa ndani ya nyumba yake, eneo la Gendi Barazani, kata ya Singe, Halmashauri ya Mji wa Babati.
Marehemu Thomas alikuwa akifahamika sana katika mzunguko wa wapenda michezo mjini Babati, akiwa shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba SC hapa nyumbani, pamoja na FC Barcelona ya Hispania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: