Askofu Mwamakula: Tuungane Kuiambia CCM Kuwa Mfumo wa Uchaguzi ni wa Uonevu, Ukandamizaji
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-04-05
Просмотров: 4319
Askofu wa kanisa la Morovian Tanzania, Emmaus Bandekile Mwamakula, ameyasema haya leo Aprili 5, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliofanyika Ndanda, Mtwara.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: