CHATO USIKU HUU WANANCHI WAKIFATILIA MATUKIO YA KUAGWA KWA HAYATI RAIS MAGUFULI KWENYE TELEVISION
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-03-22
Просмотров: 29770
Kutoka Chato usiku huu Wananchi wamekusanyika eneo la Stand ya zamani hapa mjini kufatilia matukio ya kuagwa kwa Hayati John Magufuli kwenye Television alieagwa Kitaifa March 22, Jiji Dodoma kabla ya mwili wake kuagwa siku ya Jumanne March 23, Viwanja vya Amani Zanzibar
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: