MJI WA KASULU WAENDELEA KUKUA KIBIASHARA,TPSF NA SERIKALI WASHIRIKIANA KUWEKA MAZINGIRI WEZESHI
Автор: BESUMI TV
Загружено: 2021-04-23
Просмотров: 5486
TAARIFA:
Taasisi ya Sekta binafsi Tanzania TPSF imeendelea kushirikiana na Serikali katika Wilaya mbalimbali Nchini kwa lengo la kuhakikisha Wafanyabiashara wanapata mazingira mazuri ya biashara.
Hayo yamebainika wakati wa kikao cha kamati tendaji ya Baraza la wafanyabiashara Wilaya ya Kasulu wakati wa kujadili Ajenda ambazo zitajadiliwa wakati wa Mkutano wa Baraza hilo Mwishoni mwa mwezi huu.
Ambapo Serikali imekiri kuwa imetenga eneo la zaidi ya hekali 200 za maeneo ya wafanyabiashara na wenye Viwanda vidogo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: