Mambo 10 usiyoyajua kuhusu ishowspeed ni mwehu au Genius.??
Автор: edbix
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 5439
hasira, kubweka, kucheza, gaming na streaming — hayo ndiyo maisha ya IShowSpeed ambayo yanamtambulisha duniani kote.
Na ingawa unaweza kujiuliza “hivi kuna nini cha kipekee ku mhusu ishowspeed ni nani na mbona ni maarufu sana?”, ukweli ni kwamba tabia zake ndizo zimemfanya kuvutia mamilioni ya watu na kuwa viral kiasi cha kufanikiwa kuvunja rekodi ya dunia kwa kupata watazamaji zaidi ya milioni moja kwa wakati mmoja kwenye live stream zake.
connect with edbix on Social Media:
TikTok: / / newzfid_themagazine
instagram: / / themagazine255
Facebook: / / 61582564761224
Youtube: / / @edbix
—————————————————————
karibu na uwe mwanafamilia wa Edbix the magazine , Tupo hapa kuthamini mchango wako kupitia maoni,na communication mbalimbali zinazotukutanisha kwa pamoja, kwa hayo na mengine mengi ungana nasi kwa ku Subscribe channel hii
Disclaimer:
This video is for entertainment purposes only. Copyright Disclaimer under Section 107 of the Copyright Act 1976 allows for "fair use" for purposes such as criticism, comment, news reporting, scholarship, and research. Fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infringing. Non-profit, educational, or personal use tips the balance in favor of fair use
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: