Ahadi za wagombea hawa wa urais Tanzania zinatekelezeka?
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-09-25
Просмотров: 17095
Wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia nchini Tanzania, na kampeni za uchaguzi zikizidi kushika kasi. Kumejitokeza baadhi ya ahadi ambazo kwa baadhi ya zimewaacha vinywa wazi:
Je ahadi hizo zinatekelezeka!?
Martha Saranga anaelezea ahadi 5 zilizozua mjadala Tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: