KINASA WAZI NA MASKANI 10 MBEYA
Автор: Kitaa Na Sanaa
Загружено: 2024-12-31
Просмотров: 5440
Ni katika mfululizo wa kipindi cha PLANET BONGO (Kutoka EAST AFRICA RADIO and TV)
katika kipengele cha dakika 10 za maangamizi ambapo kwa sasa kinafanya kipindi maeneo mbali mbali kwa jina la maskani 10 ambapo inatembelea vilinge vya HiP Hop na kuchangua mtu mmoja alie fanya vizuri kaitka mindindo huru ya miondoko ya Hip Hop (Hip Hop freestyle) karibu na tutazame pamoja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: