DMDP II KUTEKELEZA UJENZI BARABARA KATIKATI YA JIJI
Автор: Nipashe Digital
Загружено: 11 апр. 2025 г.
Просмотров: 32 просмотра
Serikali imetia saini mkaba wa makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi miundombinu ya barabara kupitia Mradi wa Uboreshaji na Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) awamu ya pili, Mkataba huo umesainiwa kati ya Jiji la Dar es Salaam na Mkandarasi China Wu Yi Co. limited.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: