Je Unaweza Kubadilisha Visitor Visa Kuwa Work Permit Canada? | Visitor Visa to Work Permit Explained
Автор: KHP Canada
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 519
Je inawezekana kubadilisha visitor visa kuwa work permit ukiwa ndani ya Canada?
Katika video hii nakuonyesha kila kitu hatua kwa hatua, kwa lugha rahisi—Swahili 70% + English 30%.
Utajifunza:
🇨🇦 Nani anaruhusiwa kubadilisha visitor visa to work permit?
📄 LMIA ni nini na kwa nini ni muhimu sana?
💼 Jinsi ya kupata employer wa Canada anaekubali LMIA
⚠️ Makosa yanayofanya watu wakataliwe work permit
✔️ 2026 IRCC rules – Visitor to Work Permit Update
Hii video ni muhimu kwa watu wote wanaotaka:
Kufanya kazi Canada
Visitor visa holders
LMIA job seekers
African immigrants looking for Canada jobs
Niko hapa kukusaidia kupata njia halali na salama ya Canada immigration!
Subscribe kwa channel yangu KHP Canada kwa updates za kweli, transparent, na bila scam.
#CanadaImmigration #CanadaWorkPermit #VisitorVisaCanada #LMIAJobs #CanadaJobs2025 #WorkPermitCanada #KaziCanada #KHPCanada #CanadaVisaUpdates #EastAfricaToCanada #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #UgandaToCanada #SwahiliCanada
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: