MAPENDEZI YA DUNIA SITAMANI TENA (NIFANANE NAWE YESU) By Bro Rodrigue Banze
Автор: Rodrigue Banze
Загружено: 2021-03-16
Просмотров: 101737
Bro. Rodrigue Banze
Nyimbo za Mungu
175. MAPENDEZI YA DUNIA SITAMANI TENA
1. Mapendezi ya dunia sitamani tena ;
Nina-acha yote, Yesu, nifanane nawe.
Nifanane nawe, Yesu, ao nyumbani ao po pote ;
Kila siku ya maisha, nifanane nawe.
2. Ulivunja kila pingu la makosa yangu,
Hata nikutumikie, nifanane nawe.
3. Toka hapa kwenda mbingu kwa safari nzima.
Nitapasha Neno lako, nifanane nawe.
4. Nikukute kule mbingu, Mukombozi wangu.
Nisikie Neno « Vema », nifanane nawe.
Cfr/ IH349
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: