WAFUNGWA WAMSHANGILIA MWARABU MWEUSI SINGIDA | ATUA GEREZANI KWA SHANGWE
Автор: VOT MEDIA
Загружено: 2024-12-10
Просмотров: 181
WAFUNGWA WAMSHANGILIA MWARABU MWEUSI SINGIDA | MIAKA 63 YA UHURU
Moyo wa huruma ni moyo unaoleta matumaini kwenye jamii, Mwarabu Mweusi, ama Black Arabic, jina lililogonga vichwa vya habari wiki hii kwa kile kinachotajwa kuwa ni moyo wake wa huruma kwa kile alichokifanya Singida,
Ikiwa mheshimiwa paul makonda ameliombea taifa mkoani Arusha,
Alichokifanya Mwarabu Mweusi ni kutoa misaada kwa Watanzania waliopo Magerezani kama juhudi za kuifanya Tanzania kuwa sehemu sahihi ya kuishi,
Wasiliana na Mwarabu Mweusi kwa Namba +255 67 348 9556
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: