TUMELIFAHAMU PENDO
Автор: St. Mary's Choir CHUNYA
Загружено: 2025-12-13
Просмотров: 147
Wapendwa katika kristu, karibuni kutazama wimbo wa Tumelifahamu Pendo. Dhumuni kukumbushana upendo wa Mungu kwetu na kujikumbusha kuuishi katika maisha yetu na katika jamii zetu.
Wimbo: Tumelifahamu Pendo
Mtunzi; Abado Samweli
Organist: F.Mamgasini
Kwaya: Bikira Maria Jimbo kuu la Mbeya Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu Chunya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: