RAMSEY PART 07
Автор: Lumbasi Simulizi
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 4432
Penzi kati ya Paula na Alvin likawa halinogi tena, kama unavyojua mwanzo kabisa Paula ndo alikuwa mtumwa kwa Alvin ila kwa ajili ya Ramsey upepo ulibadili muelekeo. Alvin aligeuka kuwa mtumwa wa penzi kwa Paula. Mtoto wa kiume alianza kutetea nafasi yake kwa kumuomba Paula asiende kwa Ramsey. Kwani Paula alielewa sasa? Angeanzaje kuelewa wakati Alvin hakuwa romantic!
Bifu lingine likaibuka kati ya Alvin na Ramsey.
Instagram: @lucaslumbasi_tz
#simulizi #truestory #simulizizalumbasi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: