Jinsi ya kupika mbatata nyekundu za Biashara na Nyumbani
Автор: Fau Delicious
Загружено: 2024-11-12
Просмотров: 1055
Jinsi ya kupika mbatata nyekundu.
Mbatata hizi ni nzuri kwa biashara na matumizi ya Nyumbani.
Kama utafanya za Biashara basi tengeneza na chatne na Pilipili pembeni halafu tafuta vibakuli vidogo dogo na vijiko na uanze biashara
Pia mbatata hizi ni nzuri kwenye sherehe kama Birthday
Mahitaji
.mbatata nusu
.ukwaju kikombe 1
. Chumvi
.mafuta vijiko 3 vya cha chai
.Tomato paste vijiko 5 vya chai
.rangi nyekundu
#mbatata nyekundu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: