Kura ya siri yazua mjadala Bunge la
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2014-02-28
Просмотров: 15556
Bunge Maalum la Katiba limeingia katika mjadala mkali kuhusiana na suala ya kuwepo kwa kura ya siri ama laa, wakati wa semina ya kujadili rasimu ya kanuni zitakazoliongoza iliyofanyika mjini Dodoma. Msuguano huo ulipelekea mjumbe mwingine aibue hoja mbadala ili kujaribu kuoanisha tofauti za kifikra zilizodhihirishwa na makundi yalokuwa yakikwaruzana kuhusu suala la kura.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: