Ukuaji wa Kimya Kimya
Автор: Paulo Ringo | Ringo Psychospiritual Hub
Загружено: 2025-08-10
Просмотров: 157
Sio kila hatua unayochukua inahitaji kushangiliwa. Katika somo hili tunazungumzia sanaa ya ukuaji wa kimya kimya yaani namna ya kujiboresha, kufanya kazi kwa bidii, na kuyaendea mafanikio bila kutangaza kila hatua; Utaelewa kwa nini kimya kina nguvu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: