Jamii yahimizwa kukomesha unyanyapaa kuhusu hisia za wanaume
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-11-30
Просмотров: 41
Wanaume wamehimizwa kutafuta mwongozo wanapokabiliana na changamoto za kifamilia au kijamii. Kulingana na wataalamu, wanaume wengi hukabiliana na matatizo yao kimya kimya, hali ambayo inaweza kusababisha changamoto za afya ya akili. Wito huu ulitolewa wakati wa mkutano wa afya ya wanaume uliofanyika jijini Nairobi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: