JAMAA ALIVYOTAKATWA UUME BAADA YA KUTAKA KUFANYA TENDO LA NDOA NA MKE WAKE USIKU ARUSHA.
Автор: GADI TV
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 24380
"Nina mtoto mmoja, mimi kupata watoto, sina tena uwezo huo mke wangu, kwasababu umenikata sehemu yangu yakiume, nakusamehe tu, wanawake msitujeruhi, saa nyingine tunachoka na maisha...
...mnaweza mkatukuta tuna mawazo ingine na mkatufanya jambo lolote" Ni kauli ya Baraka Melami (40) mkazi wa kata ya Kimnyaki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ambaye anadai amekatwa uume wake na mkewe Novemba 19, 2025 bila kuambiwa sababu na mwanamke huyo.
#breakingnews #latestnews #live #livestream #news #like #trending
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: