Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

#BMGTV

Автор: BMG ONLINE TV

Загружено: 2021-11-24

Просмотров: 3126

Описание:

Mwaka 2018 ujenzi wa barabara ya Sabasaba-Kiseke-Buswelu katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza yenye urefu wa kilomita 9.7 uligharimu shilingi bilioni 18 ukijumuisha barabara nyingine ambazo ni Isamilo-Big Bite hadi Mji Mwema kilomita 1.2 na Makongoro Junction-Mwaloni mpaka Kigoto Kirumba kilomita 1.2 ukitekelezwa na kampuni ya Sinohydro Corporation LTD.

Pia mwaka 2016 zaidi ya bilioni mbili zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe za Muungano zilibadilishwa matumizi na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Magufuli na kuelekeza zitumike kwenye upanuzi wa barabara ya Makongoro-Airport kutoa njia mbili hadi njia nne kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.

Fuatilia mwonekano wa kazi iliyofanyika katika barabara hizo kuanzia eneo la Buswelu-Sabasaba ambapo tamati itakuwa mzunguko wa barabara ya Kenyatta/ Rock City.

BMG Online Media- Pamoja Daima!
Tovuti https://www.bmgblog.co.tz/
Facebook   / bmghabari  
Twitter   / bmghabari  
Instagram   / bmghabari  
#BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI #PamojaDaimaBMG

#BMGTV

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

#BMGTV Uzuri wa Tanzania (S01-E18) Kisesa-Usagara ni fursa nyingine Mwanza

#BMGTV Uzuri wa Tanzania (S01-E18) Kisesa-Usagara ni fursa nyingine Mwanza

This is Ilemela Mwanza Tanzania, Things have Changed

This is Ilemela Mwanza Tanzania, Things have Changed

KARIAKOO TO KIVUKONI KWA KUTUMIA BAJAJI VIEW SAFI KABISAA jiji la Dar es salaam...

KARIAKOO TO KIVUKONI KWA KUTUMIA BAJAJI VIEW SAFI KABISAA jiji la Dar es salaam...

ПРОВЕРЬТЕ НОВУЮ ДОРОГУ НЬЯМХОНГОЛО-БУСВЕЛУ, ИЛЕМЕЛА

ПРОВЕРЬТЕ НОВУЮ ДОРОГУ НЬЯМХОНГОЛО-БУСВЕЛУ, ИЛЕМЕЛА

December Celebrations &Vibes,  Arusha Tanzania

December Celebrations &Vibes, Arusha Tanzania

Nostalgie Chansons Françaises Mix 2025 ❤️ Joe Dassin, Charles Aznavour, Jean Jacques Lafon

Nostalgie Chansons Françaises Mix 2025 ❤️ Joe Dassin, Charles Aznavour, Jean Jacques Lafon

Mwanza City Tour (City Center to Nyamhongolo Bus Terminal, Buswelu to Airport)

Mwanza City Tour (City Center to Nyamhongolo Bus Terminal, Buswelu to Airport)

MFALME ZUMARIDI AINGIA NA MAHARUSI KWA MARINGO HAIJAHI KUTOKEA

MFALME ZUMARIDI AINGIA NA MAHARUSI KWA MARINGO HAIJAHI KUTOKEA

КРАСОТА ТАНЗАНИИ, МЫ ГОВОРИМ О ТАНГА

КРАСОТА ТАНЗАНИИ, МЫ ГОВОРИМ О ТАНГА

Inside CAPRIPOINT Mwanza, Where Rich Politicians & Celebrities Build WorldClass Mansions in Tanzania

Inside CAPRIPOINT Mwanza, Where Rich Politicians & Celebrities Build WorldClass Mansions in Tanzania

Mwanza Tanzania: The Traditional Transportation and Firsts  Impressions!

Mwanza Tanzania: The Traditional Transportation and Firsts Impressions!

J/MOSI 27/12 BADO NAKUONYESHA HUU MJI WA DAR NI POA SANA BILA FOLENI ANGALIA MWENYEWE#daressalaam

J/MOSI 27/12 BADO NAKUONYESHA HUU MJI WA DAR NI POA SANA BILA FOLENI ANGALIA MWENYEWE#daressalaam

Why everyone is talking about Kigali? //Walking tour in the Green and Cleanest city in Africa

Why everyone is talking about Kigali? //Walking tour in the Green and Cleanest city in Africa

WAIMBAJI BUSWELU 2020

WAIMBAJI BUSWELU 2020

BMG TV: Twenzetu Usagara- Kisesa Mwanza, Tanzania

BMG TV: Twenzetu Usagara- Kisesa Mwanza, Tanzania

Beautiful Tanzania 🇹🇿 | Kagera Region | Lake Victoria #beautiful #nature #green

Beautiful Tanzania 🇹🇿 | Kagera Region | Lake Victoria #beautiful #nature #green

SERIKALI YAJENGA KAMPAS YA TIA MWANZA - JANUARI 2024 WANAFUNZI KUHAMIA

SERIKALI YAJENGA KAMPAS YA TIA MWANZA - JANUARI 2024 WANAFUNZI KUHAMIA

NAULI YA NDEGE ZA AIRTANZANIA KWA MIKOA ISHIRINI(20) HIZI APA/BEI YA KUPANDA NDEGE ZA AIRTANZANIA

NAULI YA NDEGE ZA AIRTANZANIA KWA MIKOA ISHIRINI(20) HIZI APA/BEI YA KUPANDA NDEGE ZA AIRTANZANIA

ИССЛЕДУЕМ СКАЛИСТЫЙ ГОРОД НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ, ТАНЗАНИЯ / ТРОП ОЗЕРА ВИКТОРИЯ / ЭПИЗОД 12

ИССЛЕДУЕМ СКАЛИСТЫЙ ГОРОД НА ОЗЕРЕ ВИКТОРИЯ, ТАНЗАНИЯ / ТРОП ОЗЕРА ВИКТОРИЯ / ЭПИЗОД 12

On my way to see the streets of NATA in Mwanza Tanzania

On my way to see the streets of NATA in Mwanza Tanzania

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]