Barua ndefu kama hii a Swahili Novel you must read
Автор: Nuru Paul
Загружено: 2024-07-29
Просмотров: 443
Barua ndefu kama hii ni kitabu kinachoongelea stori ya Ramatoulaye, mwanamke Msenagali ameolewa na Modou mtu mzito serikali. Baada ya miaka mingi Moudu anaoa mke mwingine msichana mdogo mwenye umri sawa na binti yake.
Katika kitabu hiki mwanamke uyu anayatafakari maisha yake na shida na mashaka yanayowasibu wanaweke wote wa kiafrika bila kujali dini wala nchi wanakotoka.#swahili #tanzania #vitabu#kiswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: