Tume ya taifa ya uchaguzi Msumbiji yamtangaza Daniel Chapo kuwa rais mteule
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-10-24
Просмотров: 8554
Mgombea urais kupitia chama tawala cha Frelimo nchini Msumbiji, Daniel Chapo ameshinda kiti hicho cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 9 mwaka huu...matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo leo Oktoba 24, 2024.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: