Jt raf_NI USIKU SANA|EMOTIONAL SWAHILI GOSPEL] COVER SONGS
Автор: Jt Raf 254
Загружено: 2025-07-31
Просмотров: 38693
[Verse1]
Ni usiku na giza limetanda kila mahali mola,
Ukimia umetanda kila heneo mola,
Sauti nazo sikia zinanitisha Mungu wangu,
Milio ya bundi na paka wa giza zinaongezeka,
Wamepanga siku ya leo wanimalize mola,
Ila, siogopi,
Uko na mimi yesu,
Malaika wamenizingira,
Kushoto kulia Mbele na nyuma..
Utukufu wako nautanguliza,
Wewe Mola nipe nguvu,
Hawezi nimaliza,
Umenizingira kwa moto wako
[Chorus]
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Kuna Giza,
Mingi sanaa,
Kuna Giza,
Mingi sana,
Nakuita,
Nakuita,
Nisikie mola
Nakuita,
Nakuita,
Nipe nguvu..
[Break]
[Verse2]
Wamezivuwa nguo zao zote,
Lengo lap wanimalize,
Wanatoa hadi makafara,
Kwa mungu wao hawape nguvu,
Wamejipaka damu mwili muzima,
Nakujichanja chanja,
Wakizingumuza kwa ndimi,
Kuyakaribisha yao mapepo
[Bridge]
Ila, siogopi,
Kwa sababu uko na mimi,
Malaika wamenizingira,
Kushoto kulia Mbele na nyuma..
Utukufu wako nautanguliza,
Wewe Mola nipe nguvu,
Hawezi nimaliza,
Umenizingira kwa moto wako,
[Chorus]
Ni usiku
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Ni usiku
Ni usiku,
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Nakuita
Nakuita,
(EE MOLA NIPE NGUVU)
Nakuita,
Nakuita,
(Eeh Mola nipe Nguvu)
Ni usiku
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Ni usiku
Ni usiku,
Ni usiku,
Ni usiku sanaa
Nakuita
Nakuita,
(EE MOLA NIPE NGUVU)
Nakuita,
Nakuita,
(Eeh Mola nipe Nguvu)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: