🔴 LIVE: RAIS SAMIA ANAFUNGUA MWAKA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 956
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, leo tarehe 15 Januari, 2026.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: