DCI imemhoji mmiliki wa gari la Toyota Probox lililoonekana kwenye kanda ya ajali ya Cyrus Jirongo
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 15153
Habari zaidi zimejitokeza kuhusiana na kifo cha mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo. Maafisa wa upelelezi wamemhoji mmiliki wa gari aina ya Toyota Probox ambayo ilinaswa kwenye kamera za CCTV ikiwa katika kituo cha mafuta cha Eagol, alikosimama Jirongo muda mfupi kabla ya ajali. Aidha DCI wanaodaiwa kuwa kwenye gari hilo pia wamehojiwa. Jirongo alifariki kwenye ajali baada ya gari lake kugongwa na basi eneo la Karai, Naivasha.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: