#TBC1
Автор: TBConline
Загружено: 2024-09-10
Просмотров: 9217
Leo Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site moja kwa moja kutoka makao makuu ya nchi Dodoma ukashuhudie uwekezaji wa kimkakati wa kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Msalato.
Wekeza Tanzania ni Kila jumanne saa 12:00 jioni na marudio Jumatano 7:30 mchana na kwenye ukarasa ya YouTube wa TBCONLINE
Mtangazaji - Vumilia Mwasha
Mwongozaji- Neligwa Muggitu
Mdhamini- Azania Bank
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: