Mwokozi Wetu || Cover by ZEBEDAYO Family
Автор: Zebedayo Family
Загружено: 2025-10-14
Просмотров: 611
Singer: bonheur ( Mrs Tresor) & Tresor
Audio : Bienvenue( Zebedayo Family
Video lyrics : 4images
1Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina!
2Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
3Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
4Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
.
5Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!"
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: