Mvua ya upepo iliyonyesha jana yaharibu mali nyingi Nairobi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-02-28
Просмотров: 30138
Siku moja baada ya mvua kubwa ya upepo kushuhudiwa kaunti ya Nairobi na Kiambu wakenya wengi na kampuni ya umeme ya Kenya Power wamesalia kukadiria hasara kufuatia uharibifu wa mvua hii. Baadhi ya barabara zilizofungwa jana na miti iliyoanguka barabarani bado hazijafunguliwa huku maafisa wa kenya power wakikita kambi maeneo hayo kurejesha nyaya zilizoanguka.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: