⚽ Singida Kupindua Meza ya Michezo | RC Dendego Atangaza Mageuzi Makubwa
Автор: OPK TV
Загружено: 2025-10-07
Просмотров: 12
⚽ Mkoa wa Singida umeingia kwenye historia mpya ya michezo! 🏆
Mkuu wa Mkoa, Mhe. Halima Dendego, ameahidi mageuzi makubwa yatakayoubadilisha mkoa huu kuwa Jiji la Michezo nchini Tanzania.
Katika hafla ya kuipongeza Singida Black Stars SC kwa kutwaa Kombe la CECAFA Kagame Cup 2025, RC Dendego ametangaza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo, ikiwemo viwanja vya Bombadia, ili kukuza vipaji na kuinua timu za Singida katika ramani ya kimataifa.
🎤 Kauli ya RC Dendego:
“Singida tunalenga kupokea vikombe vingi zaidi. Tutaimarisha viwanja, tutakuza vipaji, na kuwekeza kwenye vijana wetu.”
👉 Tazama video hii kujua jinsi Singida inavyopanga kugeuka kuwa kitovu cha michezo Tanzania, na namna vijana wanavyonufaika na uwekezaji huu.
📍 Mahali: Uwanja wa Bombadia, Singida
🏅 Tukio: Mapokezi ya CECAFA Kagame Cup 2025
🎯 Lengo: Kuifanya Singida kuwa Jiji la Michezo
Usisahau kufuatilia, kulike, kushare na kusubscribe @SINGIDARS kwa habari zaidi za michezo, maendeleo na vijana wa Singida!
#Singida #RC_Dendego #MichezoTanzania #SingidaBlackStars #KagameCup #SportsDevelopment #TanzaniaSports #SingidaSports #YouthEmpowermentEducation
,#singida
#Kilimo #Uwekezaji #Tanzania #FursaZaKilimo #Uvuvi #Mifugo #AgricultureInvestment🛬
Karibu Singida — Karibu kujenga kesho!
📍 Njoo uguse uhalisia wa maendeleo.
📞 Kwa mawasiliano na taarifa zaidi, wasiliana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida au kituo cha uwekezaji kilichoko ndani ya mkoa.
👇 Usiache ku-like, ku-share, na kusubscribe ili kufuatilia makala nyingine za maendeleo na uwekezaji Tanzania!
#KaribuSingida #FursaSingida #WekezaSingida #MkoaWaSingida #UwekezajiTanzania #TanzaniaInakuwezesha #JengaKesho #WekezaTanzania #ViwandaNaKilimo #SingidaYajengwa #SingidaInavyoletaMaendeleo #SingidaLandOfOpportunities #MadeInSingida #AfyaElimuNaUwekezaji #SingidaGreenEnergy #SingidaTourism
#SisiNiSingida #InvestInSingida #SingidaForInvestors #SingidaNdiyoMahali #BiasharaNaMaendeleo #UchumiImara #SingidaOnTheMove #KaribuKuwekeza #KaribuTanzania #WezeshaMaendeleo #SingidaSmartRegion
@TBC_Online @BBC @BBCNewsSwahili @bbcradio1 @VaticanNews @simbasctanzania255 @YoungAfricansSCTV @MsemajiMkuuwaSerikali @RTWAFF @singidaonlinetv @kindaiplus @singidars @Singidaplus @ikulutanzania255 @kevingatesTV @Telemundo @gags @YoungAfricansSCTV @AdobeVideo @Adobe @AdobeCreativeCloud @AdobeExpress @Photoshop @Adobeinaminute @adobecreativestation @Substance3D @onesmokisusa @opkstudioz @opkmediaz @opkradio @opkstudioz @opktvs @taha.assaad @CAF_TV @NBA @NBC @crdbbankplc7198 @CrownMediaTZ @millardayoTZA @DJI @tecnoart101 @Apple @AppleIndia @AppleBrasil @AppleMexico @Samsung @SamsungIndia @StudioBinder @SonySAB @sonymusicindiaVEVO @SonyMusicIndia @SonyMusicSouthOfficial @SonyPAL @Oscars @dramaboxapp @fifa @azamtvtz @azamtvtz @EastAfricaTV @EastAfricaRadio @africanews @africanewsfr @aljazeera @channelnewsasia @Wasafi_Media @TheCatholicTablet @SupercarBlondie @KidsTvAfrica @CNN @DWDocumentary @FactDwaar @VOANews @HISTORY @TIME @opkradio @opkstudioz @opkmediaz @onesmokisusa @BBC @VaticanNews @opkradio @VOANews @TBC_Online
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: