SHULE YA WEMA NA WAOVU: MARAFIKI WAWILI WACHANGANYWA SHULE
Автор: SwahiliMaktaba
Загружено: 2025-03-15
Просмотров: 40105
Hadithi inamfuata Sophie na Agatha, wasichana wawili kutoka kijiji kidogo cha Gavaldon, ambao wanajikuta wakipelekwa katika shule ya kichawi inayoandaa mashujaa na wabaya wa hadithi za kale. Sophie, akitamani kuwa mrembo na mwema, anajikuta kwenye Shule ya Uovu, huku Agatha, aliyedhaniwa kuwa mbaya, akitupwa kwenye Shule ya Wema. Lakini je, kila kitu ni kama kinavyoonekana? Au hatima yao imeandikwa kwa njia tofauti?
Jiunge nasi katika safari hii ya kuvutia ambapo uchawi, urafiki, na usaliti vinakutana. Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe kwa muhtasari zaidi wa filamu kali kwa Kiswahili! 🔥🎬
#SchoolOfGoodAndEvil #MovieRecapKiswahili #Swahilimaktaba
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: