Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Maisha ya kibabe ya O-TEN Morogoro nje ya Bongo Fleva, Awachana makavu HARMONIZE & DIAMOND PLATNUMZ

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2023-09-09

Просмотров: 6274

Описание:

Alitamba na nyimbo nyingi kali, ikiwamo wa Mimi, kisha akafanya kolabo na wakali wa wakati huo, Chid Benz (Nakaza Roho) na baadae Afande Sele (Tusahau), O-TEN mkongwe wa mashahiri ambaye maisha yake mjini Morogoro yako hivi.

Ilitulazimu kuacha kila kitu na kumsaka kwenye 'chimbo' zake zote mjini Morogoro kutokana na mfumo wa maisha aliyojichagulia mwanamuziki huyo ambaye nyimbo zake zilikuwa burudani masikioni mwa mashabiki wake miaka ya 2000.

Mwanamuziki huyo ambaye baba yake alikuwa injinia, anasema alianza kujifunza kuimba akiwa Afrika Kusini, ambako alipelekwa mara baada ya kuzaliwa hapa nchini ili akaishi na baba yake aliyekuwa huko kikazi.

O-TEN amekuwa kimya kwa muda mrefu, tangu 2015 alipoachia wimbo wa Dozee na 2017 video ya Komaa nao ambazo alishirikishwa hajaonekana tena kwenye ulingo wa muziki, ingawa mwenyewe anasema kwake ni kazi kazi.

#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama

Maisha ya kibabe ya O-TEN Morogoro nje ya Bongo Fleva, Awachana makavu HARMONIZE & DIAMOND PLATNUMZ

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

CASH ZNOWU STRZELA FAWORYTOM! GOL W OSTATNIEJ AKCJI POGRĄŻYŁ ARSENAL! ASTON VILLA – ARSENAL, SKRÓT

CASH ZNOWU STRZELA FAWORYTOM! GOL W OSTATNIEJ AKCJI POGRĄŻYŁ ARSENAL! ASTON VILLA – ARSENAL, SKRÓT

WANANCHI 116 WAKAMATWA KWA KUCHOCHEA MAANDAMANO HARAMU ya DESEMBA 9 MWANZA - RPC AFUNGUKA....

WANANCHI 116 WAKAMATWA KWA KUCHOCHEA MAANDAMANO HARAMU ya DESEMBA 9 MWANZA - RPC AFUNGUKA....

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 02,  2025 -RAIS SAMIA AELEZA KUHUSU MUSTAKABALI WA TAIFA

🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI DESEMBA 02, 2025 -RAIS SAMIA AELEZA KUHUSU MUSTAKABALI WA TAIFA

Niesamowita moc silnika napędzającego największe statki świata

Niesamowita moc silnika napędzającego największe statki świata

ПОЛИЦИЯ РАССКАЗЫВАЕТ О ПРОТЕСТАХ 9 ДЕКАБРЯ

ПОЛИЦИЯ РАССКАЗЫВАЕТ О ПРОТЕСТАХ 9 ДЕКАБРЯ

LIVE: MSIGWA ANAULIZWA MASWALI MAGUMU NA CHIEF ODEMBA MUDA HUU

LIVE: MSIGWA ANAULIZWA MASWALI MAGUMU NA CHIEF ODEMBA MUDA HUU

#LIVE: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAZEE MUDA HUUU

#LIVE: RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAZEE MUDA HUUU

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

Zatajone tożsamości. Fałszywe nazwiska, które zmieniły Polskę

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

Białoruś POWOLI UPADA - Tak źle tam nie było

JESHI LA POLISI LABAINI KILICHOJIFICHA DESEMBA 9

JESHI LA POLISI LABAINI KILICHOJIFICHA DESEMBA 9

Express Republiki 06.12.2025 | TV Republika

Express Republiki 06.12.2025 | TV Republika

MBWADUKE: Yanga balaa CAF! Kwa dili la straika huyu mpya Nusu Fainali CAFCL uhakika? Ahly, Rabat...

MBWADUKE: Yanga balaa CAF! Kwa dili la straika huyu mpya Nusu Fainali CAFCL uhakika? Ahly, Rabat...

Robert Bernatowicz: Czy PSY MAJĄ DUSZĘ? Czy kosmici mają pupile?

Robert Bernatowicz: Czy PSY MAJĄ DUSZĘ? Czy kosmici mają pupile?

Europa słabsza niż Ukraina? Budzisz: To Kijów dziś broni wschodniej flanki NATO

Europa słabsza niż Ukraina? Budzisz: To Kijów dziś broni wschodniej flanki NATO

"Najlepszy sort trafi do Polski"

GEN Z WAMEKAMILISHA MPANGO WAO WA MAANDAMANO YA 9 DEC, BADO SIKU 3 KINUKE

GEN Z WAMEKAMILISHA MPANGO WAO WA MAANDAMANO YA 9 DEC, BADO SIKU 3 KINUKE

Mbunge amkwarua vikali Mbowe “Unataka Rais Samia asimuchague Mkwe wake, Nitawataja / mbona wewe..

Mbunge amkwarua vikali Mbowe “Unataka Rais Samia asimuchague Mkwe wake, Nitawataja / mbona wewe..

TOBAAH! SALAMBA ATOBOA SIRI DEPU WA ANGOLA AMEMWAGA WINO YANGA! NI MAYELE MTUPU! KWA USAJILI HUU!...

TOBAAH! SALAMBA ATOBOA SIRI DEPU WA ANGOLA AMEMWAGA WINO YANGA! NI MAYELE MTUPU! KWA USAJILI HUU!...

Philip Mpango Akamatwa na Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali na Samia licha ya Kuwa Makamu wa rais Zamani

Philip Mpango Akamatwa na Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali na Samia licha ya Kuwa Makamu wa rais Zamani

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]