Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2021-11-07

Просмотров: 67791

Описание:

Je ni kweli kwamba unaweza kupata Hedhi katika kipindi cha Ujauzito?

Hapana!
Ukweli ni kwamba mara baada ya kupata Ujauzito au Mimba huwezi kupata Hedhi, Baadhi ya Wajawazito hususani wale ambao hupata Mimba kwa Mara ya Kwanza (Prime gravida) huweza kuchanganya wanapotokwa na Damu mwanzoni mwa Ujauzito na Hedhi yao!

Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 10 mpaka 15 ya Wajawazito huweza kupata Dalili za kutokwa na Damu katika Ujauzito wao hususani Mimba inapokuwa chini ya wiki 16 au chini ya Miezi 4 ya Ujauzito.

Kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito huweza kuhatarisha Mimba yako na matokeo yafuatayo mfano;

1. Mimba Kutoka au kuharibika na hivyo kutojifungua Mtoto wako.

2. Kujifungua Mtoto kabla ya wakati.

3. Kujifungua Mtoto mwenye Uzito wa chini zaidi.

4. Kupungukiwa Damu ktk kipindi cha Ujauzito au hata baada ya kujifungua au Mimba yako kuharibika.

MAMBO YANAYOPELEKEA MJAMZITO KUTOKWA NA DAMU.

1.Mimba kutishia kutoka au kuharibika kabla ya kujifungua!

2. Kondo la Nyuma linapojishikiza kwenye Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa Damu katika kipindi Cha Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito ambapo hutokea katika siku zile zile ambazo Hedhi ya kawaida ingetokea japokuwa huwa kunakuwa na utofauti na Hedhi ya kawaida Damu hutoka kidogo na kwa siku chache na badae hukata yenyewe.

3. Mimba kutunga nje ya Mji wa Uzazi huweza kupelekea kutokwa na Damu ktk cha kipindi Cha Ujauzito (Arias Stella Reaction) hususani mwanzoni mwa Ujauzito chini ya wiki 12 za Ujauzito kutoka na Upungufu au uzalishwaji mdogo wa Homoni ya Progesterone ukilinganisha na Mimba ya kawaida.

4. Mimba Zabibu, Mimba Zabibu kwa kawaida huwa lazima iharibike au itoke baada ya muda fulani wa Ujauzito hususani mwanzoni mwa Ujauzito (Chini ya wiki 16) hivyo huwesa kupelekea kutokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito.

5. Sababu zisizo Julikana, kuna baadhi ya Wajawazito hutokwa na Damu bila kuwa na sababu zinazojulikana au zinazopelekea kutokwa Damu katika kipindi cha Ujauzito.

KUMBUKA: Asilimia nyingi ya Wanawake wanaotokwa na Damu katika kipindi cha Ujauzito hujifungua Salama Watoto wao.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...
©Dr.Mwanyika

#drmwanyika
#mamaafya
HedhiKtkUjauzito

Je unaweza kupata Hedhi ktk Ujauzito? | Je Kwa nini unatokwa na Damu Ukeni ktk kipindi cha Ujauzito?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)

Why bleeding in pregnancy? (Sababu ya kutokwa na damu kipindi cha ujauzito?)

Jinsia ya Mtoto kulingana na Siku uliyofanya Tendo la Ndoa ktk mzunguko wa Hedhi yako!

Jinsia ya Mtoto kulingana na Siku uliyofanya Tendo la Ndoa ktk mzunguko wa Hedhi yako!

Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.

Je Kutokwa Damu Ukeni Kwa Mjamzito Ni Muhimu Duphaston?? (Matumizi ya Duphaston Kwa Mjamzito)!.

UTAJUAJE KUWA MIMBA IMETOKA? TUJIFUNZE DALILI ZA MIMBA KUTOKA

UTAJUAJE KUWA MIMBA IMETOKA? TUJIFUNZE DALILI ZA MIMBA KUTOKA

Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??

Kutokwa na damu ukeni ukiwa na Mimba changa (Sababu zinazopelekea Kutokwa Damu Mwanzoni mwa Mimba??

Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????

Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????

MEDICOUNTER 19/11/2018: Tatizo la kutokwa damu wakati wa ujauzito

MEDICOUNTER 19/11/2018: Tatizo la kutokwa damu wakati wa ujauzito

DALILI ZA MIMBA KUPOROMOKA KUHARIBIKA KWA MWANAMKE | SYMPTOMS OF DESTRUCTION OF PREGNANCY IN WOMAN

DALILI ZA MIMBA KUPOROMOKA KUHARIBIKA KWA MWANAMKE | SYMPTOMS OF DESTRUCTION OF PREGNANCY IN WOMAN

KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE

KUTOKWA DAMU UKENI KIPINDI CHA UJAUZITO | ANTEPARTUM HEAMORRHAGE

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Je Ute Wa Kubeba Mimba Ukoje? |Ute wa Siku Za Hatari Kwa Mwanamke Hutoka Lini?, Vitu 20 yakuzingatia

Je Ute Wa Kubeba Mimba Ukoje? |Ute wa Siku Za Hatari Kwa Mwanamke Hutoka Lini?, Vitu 20 yakuzingatia

Je Unaweza Kupata Mimba Wakati WA Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Kipindi Cha Hedhi}

Je Unaweza Kupata Mimba Wakati WA Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Kipindi Cha Hedhi}

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya

Ukiwa na DALILI hizi 10, fahamu kuwa wewe ni MJAMZITO tayari | Bonge la Afya

Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.

Dalili za Mimba Changa ya Wiki Moja! | Dalili 30 za Mimba Changa, Mimba ya Wiki 1 hadi Mwezi 1.

Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!

Mjamzito Mwenyewe Sifa Hizi Bed Rest Inakuhusu Ktk Ujauzito Wako!!!

Dalili za mimba ya wiki moja??(Je ni kweli Dada/Mama anaweza kuziona dalili za mimba ya wiki moja?)

Dalili za mimba ya wiki moja??(Je ni kweli Dada/Mama anaweza kuziona dalili za mimba ya wiki moja?)

Je nini Maana ya Mimba Zabibu?| Mambo gani hupelekea Mama kupata Mimba Zabibu??

Je nini Maana ya Mimba Zabibu?| Mambo gani hupelekea Mama kupata Mimba Zabibu??

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com