Goma : Uhuru wa kutembea Goma saa ishirini na nne
Автор: Simba Media DRC
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 390
Meya Katembo Ndalieni Julien anakumbusha wakazi wa Goma kuwa wako huru kutembea saa ishirini na nne kwa siku, kinyume na taarifa za uongo zinazotolewa mitandaoni zikidai kwamba hakuna mtu anayepaswa kutembea baada ya saa tatu usiku. Katika mahojiano haya na mwandishi wetu Moïse Komayombi kwa niaba ya Simba Media DRC, Meya Katembo anakanusha uvumi huo na kutoa onyo kali kwa wale wanaosambaza taarifa potofu. Sikiliza ujumbe wake kwa wakazi wa Goma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: