Mgogoro wa mpaka wazinyima wilaya za Tandahimba na Masasi huduma muhimu za kijamii
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-10-21
Просмотров: 1108
Zaidi ya kaya 1,000 zilizopo katika kitongoji cha Magalo kijiji cha Chiwale wilaya Masasi mkoani Mtwara kimeulalamikia uongozi wa wilaya za Nachingwea ya Lindi na Masasi iliyopo Mtwara kwa ukosefu wa huduma za jamii kufuatia uwepo wa mgogoro wa mpaka baina ya wilaya hizo.
Wananchi hao wamesema kuwa tume iliyoundwa kuchunguza mipaka ya eneo hilo imechelewa kutoa taarifa ya mipaka kati ya wilaya hizo hali inayochangia ukosefu wa huduma muhimu za kijamii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: