MAZINGAOMBWE YAZUA TAHARUKI SHULENI TABORA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-02-15
Просмотров: 3972
#HABARI: Katika hali ya kushangaza kwa zaidi ya saa tatu baadhi ya wanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi ya Town School, iliyopo kwenye Kata ya Gongoni Manispaa ya Tabora, wamepatwa na hali ya kuanguka, kulia, kupiga makelele na kujibamiza maeneo mbalimbali ya miili yao, bila ya wao kujitambua mithili ya mtu aliyechanganyikiwa huku ikidaiwa chanzo cha tukio hilo ni baada ya watoto hao kufanyiwa mazingaombwe na kijana aliyetambulika kwa jina moja la Kisado.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania.
#Follow @radioonetanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: