HOT101 Episode 2 — Dating the Economy.
Автор: HOT101 Official
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 328
"Mwaka ni 2026 na 'Romance Recession' imetandika kila mahali. Rent inapanda, bei ya unga imekataa kushuka, na hustle ni ngumu—sasa mapenzi itatokea wapi?
Hii podcast ni ya wale wasee wanajaribu ku-balance mahusiano na 'the cost of living.' Tunasonga ndani kabisa kuongelea mbona Gen Z wanapiga 'pause' kwa mambo ya ngono na intimacy juu ya stress za pesa na ukosefu wa privacy. Kama bado unaishi kwa mzae au unashare 'cube' na roommates, unajua vile ni ngumu kupata 'quality time' bila distractions.
Kwenye hii podcast tutachambua:
Intimacy Crunch: Mbona kukosa 'base' yako (privacy) inauwa mood na kupunguza 'nyandua' sessions.
Economic Celibacy: Ile hali ya kuchagua kati ya kuenda date au kununua tokens na chakula.
Burnout & Bedtime: Jinsi kuchoka na 'hustle culture' inafanya wasee wawe 'too tired' kwa mambo ya kitandani.
Modern Resilience: Jinsi ya ku-keep mapenzi hai hata kama mfuko imeparara ('kamechapa').
Join us tuki-unpack maisha ya kweli ya Gen Z Kenya: Upendo, mahusiano, na kuvumilia katika hizi nyakati ngumu."
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: