Mradi wa uimarishaji wa mfumo wa umeme Mji Mkongwe Zanzibar wasainiwa
Автор: ZECOZanzibar
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 53
Shirika la Umeme Zanzibar na Kampuni ya Central Electricals International Limited zimetiliana saini mkataba wa uimarishaji mfumo wa umeme Mji Mkongwe utakaojenga vituo viwili vya kupokea na kusambazia umeme pamoja na ujenzi wa njia za kusafirisha umeme wa mkondo wa 33kV katika kuimarisha hali ya upatikanaji umeme ndani ya mji wa Zanzibar.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: