Msukuma Amlipua Lowassa, Asema Alipitishwa Kugombea Urais kwa Hati ya Dharura
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-07-03
Просмотров: 540903
Mbunge Wa Geita Vijijini Joseph Msukuma Amesema Kuwa Mgombea Wa Uraisi Kupitia Cha demokrasia Na Maendeleo Edward Lowassa Alipatikana Kwa Dharula
Msukuma Ameyasema Hayo Wakati Akichangia Mjadala Wa Mswada Wa Sheria Ya Madini Ambapo Aliwashukia Wabunge Wa Upinzani Kwa Kusema Wanashangaa Mswada Uho Wa Sheria
Kuletwa Kwa Hati Ya Dharula
Ikiwa Ata Wao Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo Walimpata
Mgombea Wao Kwa Hati Ya Dharula Ikumbuke Uchanguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Chadema Walimsimamisha Waziri Mkuu Wa Zamani Edward Lowassa Kugombea Urais Kupitia Chama HIcho Baada Ya Kuachana Na Chama Cha Mapinduzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: