MRADI WA VIWANJA NZUGUNI DODOMA ( SQM 1 = 15,000/=)
Автор: LandLai Investment
Загружено: 2023-01-04
Просмотров: 3057
Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja uliopo Nzuguni Jijini Dodoma ambapo hapa tuna viwanja vyenye ukubwa tofauti tofauti kuanzia sqm 600 na kuendelea. Viwanja hivi viko very close na stendi na soko la Job Ndugai huku huduma za kijamii kama maji , umeme, barabara kiwango cha lami, shule za kimataifa, hospitali kubwa na makazi ya kisasa vikitawala eneo hili
Viwanja hivi ni vichache na viko sehemu nzuri iwe kwa kujenga au kuishi. Kwa kila SQM 1 inauzwa kwa shilingi 15,000/= na pindi ufanyapo malipo basi utapata hati ya jina lako.
Wasiliana nasi 0620 64 9030
#Dodoma
#viwanjaDodoma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: