Kelsy Kerubo - Barua Yangu (official music video)
Автор: Kelsy Kerubo
Загружено: 2021-10-29
Просмотров: 298531
LYRICS
chorus
Barua yangu,Barua yangu kwake,
Rafiki yangu tu,
Mwandani wa karibu anitosha
Yeye chanda mimi pete
Simwitaji mwingine,anitosha
Hallo hallo,nataka niseme kuhusu penzi lake
Stanza 1
Anisaidiaye shidani kweli,
Ndiye wangu mwandani ananipenda..
Machoni hayupo lakini moyoni amepiga kambi Bwana, ananifaa
Yeye kinoo kwangu mimi wembe sijampata anayenipenda,nimeridhika..
Ama kweli upendo wake
Ameutoa kwangu mimi anishangazaa..
Stanza 2
Siachi kujishaua mimi maana alinipenda wa kwanza,
Na-nikamwamimi,
Imani yake kwangu nakusudia izidi zaidi na sana,
Barua ya Moyo wangu
Ndani amewasha taa..
Ananiangazia kote kote ananifaa..
Alokusudia mimi mwanadamu katu katu
Hatozuia kalamu yake hujiri
Follow me on my other social media platforms;
Instagram; kelsy_kerubo⏬
/ kelsy_kerubo
Facebook &Twitter @Kelsy Kerubo
contact me on email @kelsykerubo5@gmail.com
kindly subscribe to my channel🙏❤❤
Thank you for your endless support! God bless you🙏😊
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: