NG'OMBE WANNE WAFA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA, TETESI ZA KUPEWA SUMU ZA ZUKA
Автор: NIA 24 TV
Загружено: 2020-10-25
Просмотров: 98
#NIA24TV#MBWADE#
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro BAKARI MSULWA amewataka wakulima na wafugaji wa wilaya hiyo kuheshimu maeneo yaliyotengwa kisheria kwaajili kilimo na ufugaji ili kuepusha matukio yanayoweza kuashilia uvunjifu wa amani.
Msulwa ametoa wito huo baada ya ng’ombe wapatao wanne kufa kutokana na madai ya kulishwa sumu Afisa Mifugo SHABANI HASSANI kata ya Bwakila chini ametoa taarifa kwa mkuu wa wilaya juu ya vifo hivyo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: