AJALI MBAYA YAUA 14 MOROGORO, LORI NA COSTA ZAGONGANA USO KWA USO
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2024-12-17
Просмотров: 15454
Watu kumi na nne wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo basi dogo la abiria aina ya costa lililogongana uso kwa uso na Lori la mizigo maeneo ya Mikese Barabara Kuu ya Morogoro - Dar es salaam.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa Dk Daniel Mkungu amethibitisha kupokea kwa majeruhi na miili ya watu 14 waliopoteza maisha katika ajali hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: