ECHOES OF VICTORY TZ|| KIMBILIO|| OFFICIAL VIDEO|| 2025
Автор: Echoes of victory Tz
Загружено: 2025-07-11
Просмотров: 5620
KIMBILIO || ECHOES OF VICTORYTZ || OFFICIAL ACCAPELA VIDEO || 2025
---
Zaburi 46:1
"Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu,
Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
God is our refuge and strength, a very present help in trouble."
ABOUT THE SONG
"Kimbilio" is a spiritually uplifting acapella offering from Echoes of Victory Tz, echoing Psalm 46:1.
"Tunapitia nyakati za mafanikio na changamoto, nyakati za kukata tamaa na kupotea gizani- licha ya yote hayo MUNGU anatambua Hali halisi tuliyonayo, MUNGU anahitaji tutambue nafasi yake katika maisha yetu, yeye anatupenda hivyo tumtukuze maana ametenda mengi katika maisha yetu, Nami naungana na Echoes of Victory Tz kukutia moyo kwamba katika Hali yoyote uliyonayo, mfanye KRISTO awe KIMBILIO lako, katika Hali za furaha au huzuni, tambua nafasi yake katika maisha yako".
Na Mtunzi, Bright Mrikalia.
In moments of fear, loss, or trouble—there is a place we run to. A name we call on. A presence that never fails. “ KIMBILIO” is a song of hope, reminding us that God is our Refuge and Strength, always ready to help in times of trouble.
LYRICS
Verse
Mungu wetu ni KIMBILIO na NGUVU,
Msaada utakaoonekana wakati WA shida,
Wala hatutaogopa yu nasi,
Atatushindia kwa UWEZO wake.
Chorus
Hakuna mwingine WA Kupewa sifa ila WEWE MUNGU Muumbaji,
Unayotenda ni mengi KATIKA maisha yetu,
Unastahili kuabudiwa na kutukuzwa,
Utadumu Milele kuwa Muumbaji.
Solo
MUNGU wetu anatupenda, anatuita kwake,
Kwa sauti ya upole njoo kama ulivyo,
Atatupokea mikononi mwake,
Fanya hima usichelewe – Anangoja.
------------------------
SONG CREDITS
Artists : Echoes of Victory Tz
Lyrics & Composition: Bright Mrikalia on 28th Dec 2023
Female solos: Dorine Marco & Lenista Elieth
Male solo: Bright Mrikalia
Vocal arrangement: Bright Mrikalia
Audio recording: Pro Isack Thadeo
Mixing and mastering: BJ Brand Studio, (Pro Bwanga)
Video Credits: Director Yoress
Graphics &Designing: Rajax creatives
Location: SUA SDA MEDIA STUDIO
SPECIAL THANKS,to Pro Bwanga for the beautiful arrangement and mixing, BJ Brand Studios for audio production, and Director Yoress for the exceptional video direction. We deeply appreciate Bright Mrikalia for writing this powerful song and Echoes of Victory TZ for their heartfelt performance. Gratitude to our church and our Spiritual Mentor, Dr. Ezekiel Kulwa and all supporters for their prayers and encouragement. Above all, glory to God our true "Kimbilio" for His strength and grace throughout this journey.
Audio rights &video rights: Exclusively owned by Echoes Of Victory Tz, 2025
English subtitles: Shown on the video.
All rights reserved by Echoes of Victory Tz, 2025
For inquiries, please contact us at;
+255 765 722 066
+255 615 946 936
+255 629 581 801
------------------------
🔗 Connect with Us
Email: echoesofvictorytz@ gmail.com
Ticktok: Echoes of Victory Tz
Instagram: @echoesofvictoryministry
Threads:echoesofvictoryministry
YouTube: Echoes of Victory Tz
-----------
Be Blessed – Be a Blessing
If this song touched your heart,
please: 👍 Like | 💬 Comment | 🔁 Share | 🔔 Subscribe
Tag someone who needs to be reminded that they are never alone.
Let “ Kimbilio ” be a shelter to your soul.
#accapella
#kimbilio
#echoesofvictorytz
#bilashaka
#sdasongs
#sdamelodies
#gospelmusic
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: