WAZIRI MKUU MSTAAFU, MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA VIPANDO VYA SEEDCO NANENANE | DODOMA
Автор: Seedco Tanzania
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 877
Waziri Mkuu mstaafu Mhe. Mizengo Pinda ametembelea vipando vya SeedCo Tanzania katika maonesho ya NaneNane yaliyofanyika kitaifa jijini DODOMA. Mhe. Mizengo Pinda amefurahishwa na juhudi zinazofanywa na SeedCo Tanzania katika kuzalisha mbegu bora na kuleta mapinduzi katika kilimo na kusisitiza juhudi hizo ziendelee zaidi ili kuleta maendeleo zaidi katika sekta ya kilimo nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: