NILIOMBA UKIMBIZI CANADA| AGENT ALINILIA PESA NA VISA SIKUPATA | WADADA MJIBRAND ACHENI KUOMBA OMBA
Автор: Official Dating Assistance
Загружено: 2024-05-05
Просмотров: 18102
Mpaukha ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka kufika nchi ya ndoto yake Canada
Ambapo anasema alitumia agent wa kwanza ambae alimlia pesa
Anasema baada ya kufika tu aliomba ukimbizi, amewaasa vijana kujituma.
Mabinti kutokua rahisi na waweze kujitegemea.
Thank you Mpauka Jr for allowing this to be online
www.oda.international
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: