Wakulima Mkoani kigoma wafurahia matumizi ya mashine ya kupura/kupiga maharage.
Автор: Nyakitonto TV
Загружено: 2020-06-07
Просмотров: 2136
Innocent Michael VBA wa kijiji cha Murubanga kata ya Nyakitonto ni mmiliki wa Mashine ya kupura maharage yeye anashukuru sana mradi wa PiATA TIJA Tanzania kwani amenufaika sana sasa anauwezo wa kupiga hadi magunia kumi ya maharage kwa siku moja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: