MAPOKEZI RASMI YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA IKULU YA BOGOR NCHINI INDONESIA
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2024-01-24
Просмотров: 11810
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wa ziara yake ya siku tatu nchini humo. Mapokezi hayo yamefanyika katika Makazi ya Rais yaliyopo Mji wa Bogor leo tarehe 25 Januari 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: