ZIITE BARAKA ZAKO KWA MAOMBI HAYA KILA SIKU!!!! ISAYA 60:11
Автор: SIRI ZA BIBLIA
Загружено: 2021-10-18
Просмотров: 98763
#baraka#isaya#maombi#utajiri
Isaya 60:11 '' Malango yako nayo yatakuwa wazi daima; Hayatafungwa mchana wala usiku; Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa, Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.''
Katika ulimwengu wa roho baraka zako zote huwa ziko katika maeneo ambapo ili upate baraka yako uitakayo unatakiwa kubisha kwenye ulimwengu wa roho wa nuru ili ufunguliwe na kuchukua baraka yako, ndio maana katika maombi imani ni jambo la muhimu sana.
Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
"Warumi 13:11"
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: