Zaidi ya Polisi 80 wametumwa kuongeza nguvu katika Operesheni Maalum Vikindu mkoani Pwani.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-08-27
Просмотров: 8335
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema lipo katika Operesheni Maalum ya kuwakamata majambazi waliofanya tukio la mauaji huko Vikindu ambapo mpaka sasa watu kadhaa wameuawa na wengine wanashikiliwa na sasa jeshi hilo limelazimka kuongeza kikosi cha askari wengine zaidi ya 80 kwenda katika eneo la tukio kuongeza nguvu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: